Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Arch. Elius Mwakalinga akifafanua jambo kuhusu fursa kwa wakandarasi wazawa kwenye Kongamano la Chama cha Wakandarasi Wa Ujenzi Tanzania (TACECA), lililofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Barabara kutoka Wizara ya Ujenzi, Eng. Light Chobya na viongozi wakuu wa TACECA.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Arch. Elius Mwakalinga akisisitiza jambo kuhusu fursa kwa wakandarasi wazawa kwenye Kongamano la Chama cha Wakandarasi Wa Ujenzi Tanzania (TACECA), lililofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Chama cha Wakandarasi Wa Ujenzi Tanzania (TACECA), wakifuatilia kwa makini hotuba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Arch. Elius Mwakalinga kuhusu fursa kwa wakandarasi wazawa kwenye Kongamano la Chama cha Wakandarasi Wa Ujenzi Tanzania (TACECA), lililofanyika leo jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Arch. Elius Mwakalinga akipata maelezo kwa mmoja wa watalamu walioshiriki kwenye Kongamano la Chama cha Wakandarasi Wa Ujenzi Tanzania (TACECA), kuhusu huduma zinazotolewa na Kampuni ya ARIS.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Chama cha Wakandarasi Wa Ujenzi Tanzania (TACECA), wakifuatilia kwa makini hotuba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Arch. Elius Mwakalinga kuhusu fursa kwa wakandarasi wazawa kwenye Kongamano la Chama cha Wakandarasi Wa Ujenzi Tanzania (TACECA), lililofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Arch. Elius Mwakalinga akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzinduwa kongamano hilo jijini Dar es Salaam.
Comments
Post a Comment